Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen.
Huyu mwandishi kanjanja na tapeli tapeli kutoka Ghana na shabiki kindakindaki wa simba yetu aka chupi upande naona wazi kaumia sana na matokeo ya jana sanaa.
Kumbuka aliahidi hatokuja kuwapost yanga kwa lolote, inshort amekuwa akiweka habari negative tu za yanga jla zile positive haweki au anaweka vijembe tu.
Before jana alipost kwa mbwembwe kuwa nani atashinda ila baada ya match kapost kinyonge sana matokeo yaani kaumia sana huyu kolo mwenzetu.
Kama simba wangeshinds tu basi ingekuwa mfululizo wa post za kuwasifia na kuwananga yanga mpaka leo au labda kesho kutwa plus kumpost mo dewji na kumsifia .
MFANO MWENGINE.
Juzi tu alimpost injinia hersi na akamuaddress kama rais wa ACA na sio rais wa yanga na ACA.
Anaona kama ataipa yanga platform wakati tayari yanga ni platform kubwa kuliko yeye na wala hapunguzi wala kuongeza chochote.
Mwandishi kanjanja sana.
Kwa maana hiyo anamaanisha kuwa yanga wamependelewa na chupi upande kunyonywa wakati kiuhalisia chupi upande ndiyo wamebebwa sana sana walitakiwa kwanza wacheze wachezaji kumi hamza alitakiwa kula red .
Isitoshe sioni kosa la yanga maana wenzetu walikaa chupi upande matokeo yake wakagongwa kamoja tu sasa walitaka wagongwe vingapi?
Kiufupi viongozi wa yanga wamuonye aache kupost habari za yanga kabisa tuone kama ataweza maana yeye anadhani yanga haiwezi kuishi bila yeye mjinga mmoja chupi upande fc.