MwanaSimba yeyote aniambie sababu zozote za maana za kumtimua Uchebe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kichwa cha habari chajieleza.

Kiwango cha Simba wakati wa Uchebe hakifanani kabisa na Simba hii chini ya kocha huyu mpya mwenye CV ya kusononesha.

Simba ya Uchebe haikuwahi kuzidiwa ball possession na vitimu vya nchi hii. Leo Mtibwa wamemiliki mpira kwa 51% huku Simba wakiwa na 49%, ni uchafu gani huu jamani?

Kwanini Uchebe aliondolewa bila sababu zenye mashiko?
 
Kamuulize Mzee Kilomoni ambaye mulimfanyia maudhi kadhaa kipindi anawatetea.

Mlimtukana
Mliomba afungwe
Mkamuita msaliti n.k

NB that old man had a a very good point to protect his Simba.
Aiseee !!
 
Hawa matajiri kumbe ndio Tatizo !
Matajiri siyo tatizo shida wapambe

Hata magufuri ni mtu mzuri sana shida waliomzunguka

Wapambe nukusi mkuu

Moo kazungukwa na matapeli akina Manara

Ambao ndo wamewashika mashabiki mbumbumbu wa simba ambao hawana hata uwezo wa kupambanua mambo

Washaga aminishwa simba ni team kubwa ambayo iko level moja na Chelsea, Liverpool Barcelona nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh ! Mbona Manara aliwahi kutimuliwa ccm kwa sababu ya Utapeli , imekuaje akaaminiwa simba kiasi hiki ?
 
Kamuulize Mzee Kilomoni ambaye mulimfanyia maudhi kadhaa kipindi anawatetea.

Mlimtukana
Mliomba afungwe
Mkamuita msaliti n.k

NB that old man had a a very good point to protect his Simba.
His Simba? When and who gave him that tittle of being Simba owner? Tatizo wazee km kina kilomoni wanajifanyaga wanapiga kelele mianya ya kupiga pesa ikizibwa but wakiwa wanaambulia chochote kitu huwezi kusikia milele miaka yote aliyokaa Simba kwanini alishindwa kutafuta muwekezaji ambaye angeweza kuendana na terms & conditions alizokuwa anazitaka?
 
Hata magoli ya wazi Mtibwa wamekosa 4 clear goals ukilinganisha na 2 ya Simba. Bila ya kupepesa macho ingekuwa 5-2. Bahati yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…