Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Mwanachama yeyte wa Simba , Simba ni yake.His Simba? When and who gave him that tittle of being Simba owner? Tatizo wazee km kina kilomoni wanajifanyaga wanapiga kelele mianya ya kupiga pesa ikizibwa but wakiwa wanaambulia chochote kitu huwezi kusikia milele miaka yote aliyokaa Simba kwanini alishindwa kutafuta muwekezaji ambaye angeweza kuendana na terms & conditions alizokuwa anazitaka?
Jibu umelipata Kiongozi. Ubabaishaji uliokithiriKichwa cha habari chajieleza.
Kiwango cha Simba wakati wa Uchebe hakifanani kabisa na Simba hii chini ya kocha huyu mpya mwenye CV ya kusononesha.
Simba ya Uchebe haikuwahi kuzidiwa ball possession na vitimu vya nchi hii. Leo Mtibwa wamemiliki mpira kwa 51% huku Simba wakiwa na 49%, ni uchafu gani huu jamani?
Kwanini Uchebe aliondolewa bila sababu zenye mashiko?
unastahili kupata balimiUchebe naye alianza kuyumba na hata angekuwepo hali ingekuwa kama hii tu.
1.Alikuwa ameanza kuishiwa mbinu, ndio maana Simba ilianza kushinda kwa bahati nasibu. Graph ya ushindi wa Simba ilikuwa na mwendo wa diminishing progression.
2.Mnatumia Simba kufika robo fainali CCL kama credit kwake, ila hamjui kuna mbinu za nyuma ya pazia zitumike kuifikisha pale. Angalia mechi za away alivyokuwa anafanya utumbo, timu ikiwa home ground watu walikuwa wanaingia mzigoni kumsaidia, yet alianza kusaidiwa anaanza kulalama anaingiliwa majukumu.
3.Timu ilianza kuwa na nidhamu mbovu chini yake.
4.Kwamba yeye alikuwa hafungwi kwenye ligi? Hamjui kuna point 5 tumepoteza chini ya Aussems kwenye TPL?
5.Eti kwanini alifukuzwa ilhali Simba inaongoza ligi? Jibu la swali hili rejea hapo no.1. Na hii ndo sababu inayofanya Barcelona nao wamtimue kocha wao Ernesto Velverde. Ilifika kipindi tulianza kukosa imani kama Aussems angetuvusha, sawa na Barcelona ambavyo wamekosa imani na Ernesto pamoja na timu hiyo bado kuwa kwenye msimamo mzuri wa La Liga. Tatizo lao wote ni moja; kadri ligi inavyosonga mbele timu zinaanza kushinda kwa bahati nasibu at a diminishing rate.
Tulikuwa tunategemea marefa,but kwasasa supu imeingia Nazinaomba majibu
Wachezaji wengi wazee piga chini wote hao.
Hawaendani na falsafa ya kocha.
Kingine tangu Mo..amlete Bashite ni mikosi tu kwenye kikosi.
Hivi hili jambo ni la kweli jamani ?
Simba bila kubebwa na marefa anakuwa hatishi kama nyau. Kila mmoja anamchezea tu atakavyo
!!!Marefarii bado kichomi kabisa, goli la fraga ni halali kabisa, jamaa alikuwa onside ila kutokana na presha za waamuzi kwenye mechi za simba tumenyimwa goli halali kabisa.