Timu ya mkoa wa tabora mashindano sunlight na baadae kufahamika kama taifa cup wakicheza uwanja wa Ilala ukiitwa hivyo na sio karume pia alikiputa timu ya Taifa mashindano gossage cup sasa hivi ni challenge.Dah, mkuu huyu mtu simfahamu kabisa amewahi kuchezea timu zipi?
Jina langu?Wewe nani?
Mkuu Kipaji kilikuwa mafichoni ndio maana sikuwika ila nakumbuka nikiwa darasa la tano nilikuwa golikipa tegemeo sana wa kijiji changu.Ha ha ha Ndio Mkuu kama ni Nteze John tufahamishe.
Alipata nafasi akaitumia kuvutia bangiHaruna Moshi Boban