Mwanasoka gani wa bongo unahisi alistahili au anastahili kucheza Ulaya?

Mwanasoka gani wa bongo unahisi alistahili au anastahili kucheza Ulaya?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Wakuu hii kitu nimetafakari sana, binafsi naona kuna wanasoka wa Bongo ambao kila nikitazama soka lao naona kabisa wangeweza au wanaweza kucheza soka la Ulaya. Mfano Mchezaji kama SHADRACK MSAJIGWA kwa
kiwango chake angeweza tu kucheza Everton, Southampton n.k

Je, nani unafikiri amekosa au alikosa tu bahati lakini kiwango cha kucheza timu za Ligi kuu za Ulaya alikuwa nacho au anacho?
 
Ha ha ha Ndio Mkuu kama ni Nteze John tufahamishe.
Mkuu Kipaji kilikuwa mafichoni ndio maana sikuwika ila nakumbuka nikiwa darasa la tano nilikuwa golikipa tegemeo sana wa kijiji changu.
 
Back
Top Bottom