Mwanasoka gani wa bongo unahisi alistahili au anastahili kucheza Ulaya?

Haha.. Mkuu ndo mana nikasema wanatakiwa watapakae katika ligi mbalimbali ndani ya ulimwengu huu.. huyo Lufunga tungempeleka katika ligi ya somalia au sudani kusini.
 
kwa sasa hakuna, wote wanacheza kawaida sana....labda tusubiri miaka 10 ijayo
 
Edibily Lunyamila kutocheza ulaya ni moja ya ukatili wa kihistoria katika soka la Tanzania.
 
Alikuwa zaidi ya Mogela Mkuu, mwache Lunya bwana.
Lunya wanamjua Waganda tu,
Hapa kwetu hata Kasongo Athumani alikua akimtosha tu huyu Lunya,
Kile Kimguu chake kimoja cha kushoto ukikidhibiti basi Lunya kapuni,
Nakumbuka alikua akisoma Shinyanga nadhani, Yanga walikua wakimfuata mpaka shuleni kumsubiri.
 
Lakini Hata yule Mliberia George Weah pamoja na kuogopwa huko
Ulaya hapa Bongo alidhibitiwa vema tu!
 
Edibil Jonas Lunyamila,Boniface Pawasa,said Mwamba Kizota,Shehan Rashid,mohamed Hussein Mmachinga,Salvatory Edward
wasasa
-Narid Haroub
-Kelvin Yondani
-Mrisho Ngassa
-Singano
-Manula
-Kigi Makasi
-Mwinyi Kazimoto
 
alafu ile kona ya kichuya yeye alikuwa habahatishi ndio alikuwa hodari wa kumtungua mwameja
 
wachezaji wote wa simba kikosi cha 2003 kuanzia
JUma K
Said Sued
Ramadhan R
Pawasa
victa costa
matola
SMG
Shekhan
Nteze
Kaniki
Ema Gabry
wote hawa walistahili kuwa Ulaya
 
Lufunga nini kinachoendelea kumuweka simba? Jitu zembe kama lile, kwanza ni zitoo na miguu yake mirefu kama mitete
 
Mo ibrahim, Hajibu, kichuya, Mzamilu yasini, msuva,victor costa ila huyu Tshabalala anacheza kama macelo pale Real madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…