Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Boa Morte, kakipiga Arsenal pia ila mpira ulikataa akiwa Arsenal. Anatumia mguu wa kushoto na ni mreno.Ametamba sana katika Vilabu vya Fulham na West Ham ndani ya EPL, Je huyu ni nani?
Wapenzi wa EPL kitambo karibuni...
Luis ungechukua picha aliyogeuka ungeona jina lake poa asili yake ni barani afrika
Boa Morte, kakipiga Arsenal pia ila mpira ulikataa akiwa Arsenal. Anatumia mguu wa kushoto na ni mreno.