Mwanasoka huyu anaitwa nani?

Mwanasoka huyu anaitwa nani?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Ametamba sana katika Vilabu vya Fulham na West Ham ndani ya EPL, Je huyu ni nani?
Wapenzi wa EPL kitambo karibuni...
071a1776143217790a75281e03bd9d2e.jpg
 
Luis ungechukua picha aliyogeuka ungeona jina lake poa asili yake ni barani afrika
 
Boa Morte, kakipiga Arsenal pia ila mpira ulikataa akiwa Arsenal. Anatumia mguu wa kushoto na ni mreno.

Kwa UK Arsenal Ndipo alipoanzia hapo kabla ya kwenda Fulham alikotamba..hata hivyo kwa arsenal alicheza kipindi kigumu cha mabadiliko ya timu iliyozaa ma legends.. ndo maana haishangazi kwa miaka 2 aliyokaa pale alicheza mechi chache tu
 
Back
Top Bottom