OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #21
kumchukia aliyefanikiwa hakuwezi kukupa mafanikioUnateseka
Tusipozipata akija Dar tunamfunga case closedswali gani hili sasa
hiyo barua mstari wa pili ndio wamejichanganya, soma mwenyewe uone
SIMBA huenda ikapata ushindi wa mezani dhidi ya Al Merrikh kutokana na timu hiyo ya Sudan kudaiwa kuwatumia wachezaji wawili ambao hawakupaswa kucheza katika mchezo baina yao uliochezwa jijini Khartoum, Jumamosi iliopita ambao uliisha kwa sare tasa.
Taarifa za uhakika ambazo uongozi wa Simba umedai kuzinasa kutoka Sudan kwa ushahidi wa nyaraka mbalimbali, zimeonesha kuwa wachezaji hao Ramadan Agab na mwingine ambaye jina lake wanalisaka, walicheza mechi hiyo huku wakiwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi sita waliyopewa na Chama cha Soka Sudan (SFA)
Ushahidi wa barua ambao Simba wameupata na kuionysha Mwanaspoti nakala, unaonyesha kuwa SFA iliwafungia wachezaji hao kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kusaini mikataba katika timu mbili tofauti, adhabu ambayo inaishia katikati ya Aprili.
"Hii ni nakala ya uamuzi. Kimsingi wachezaji hao wawili walisaini mikataba miwili tofauti na Al Merrikh na Al Hilal na wamefungiwa kucheza kwa muda wa miezi sita.
Barua hii ni ya Katibu Mkuu wa Al Merrikh ambayo walimpa kocha kwamba anaweza kuwatumia wachezaji wawili waliofungiwa. Wachezaji hao hawakucheza mechi yoyote ya Al Merrikh hadi sasa. Wamefungiwa kucheza hadi katikati ya Aprili. Wamefanya uamuzi wao wenyewe," alisema mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez.
Ikiwa itabainika ni kweli Al Merrikh waliwachezesha wachezaji ambao hawakustahili kucheza, itaondolewa mashindanoni.
My Take
Nimefuatilia vyanzo mbalimbali nje ya nchi hapo kuna wachezaji wawili Mohamed Al-Rashed and Ramadan Agab. Mo Dewji na CEO Barbara fanyeni chap tujipigie point 3 na goli 2.
View attachment 1720214
hata wakitupa,tunahitaji kumfunga ili tuwe na point 12 tubaki kupambania uongozi wa kundi tuTusipozipata akija Dar tunamfunga case closed
Tupe maelezo mkuu. Tumeipata mtandaoni lugha inatupa tabuhiyo barua mstari wa pili ndio wamejichanganya, soma mwenyewe uone
Sio ndoto mkuu.. hata usingizi tu sasahv hawanahe he Nyani FC sijakuona toka gemu ya Arusha, vipi wajisikiaje hali shekhe... bado mna ndoto za ubingwa ?
Sheria na Kanuni lazima zitambulike, ziheshimiwe na zifuatwe, unadhani Simba SC wangemchezesha Perfect Chikwende na Al Merrikh wakalalamika wangekuwa na makosa?Simba tafadhali msitukere kutafuta huruma mpira unachezwa uwanjani point 4 zinapatikana bila utata
Unateseka ukiwa kidimbwi gani hapa Tanzania?Simba tafadhali msitukere kutafuta huruma mpira unachezwa uwanjani point 4 zinapatikana bila utata
Hawataondolewa kabisa!! Hao wachezaji wanaolalamikiwa hawakucheza mechi za Vita na Al Ahly. Simba atapewa point 3. Mechi zijazo hawatawatumia hao wachezaji.Ikibainika ni kweli wataondolewa kabisa kwenye mashindano, na watakao umia ni Ahly na VITA
Swala ni je kuna kikao chochote rasmi kilichokaa na kufanya kuwasamehe wachezaji hao?hiyo barua mstari wa pili ndio wamejichanganya, soma mwenyewe uone
vp mshapewa hizo pointiulimsindikiza kaze? unaumia ukiwa sehemu gani ya tanzania? umeutoa mwiko huko tayari?
Ndio mama mvaa vjora na madelavp mshapewa hizo pointi
mbumbumbu ni mbumbumbu tu
hahahaha ko mmeshafuzuNdio mama mvaa vjora na madela
Endeleeni na ukarabati wa gesti zenu, sisi tutaendelea kuwakilisha taifavp mshapewa hizo pointi
mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Hawatapata,wale jamaa wanakibali cha caf kuwachezesha hao wachezaji
SIMBA huenda ikapata ushindi wa mezani dhidi ya Al Merrikh kutokana na timu hiyo ya Sudan kudaiwa kuwatumia wachezaji wawili ambao hawakupaswa kucheza katika mchezo baina yao uliochezwa jijini Khartoum, Jumamosi iliopita ambao uliisha kwa sare tasa.
Taarifa za uhakika ambazo uongozi wa Simba umedai kuzinasa kutoka Sudan kwa ushahidi wa nyaraka mbalimbali, zimeonesha kuwa wachezaji hao Ramadan Agab na mwingine ambaye jina lake wanalisaka, walicheza mechi hiyo huku wakiwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi sita waliyopewa na Chama cha Soka Sudan (SFA)
Ushahidi wa barua ambao Simba wameupata na kuionysha Mwanaspoti nakala, unaonyesha kuwa SFA iliwafungia wachezaji hao kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kusaini mikataba katika timu mbili tofauti, adhabu ambayo inaishia katikati ya Aprili.
"Hii ni nakala ya uamuzi. Kimsingi wachezaji hao wawili walisaini mikataba miwili tofauti na Al Merrikh na Al Hilal na wamefungiwa kucheza kwa muda wa miezi sita.
Barua hii ni ya Katibu Mkuu wa Al Merrikh ambayo walimpa kocha kwamba anaweza kuwatumia wachezaji wawili waliofungiwa. Wachezaji hao hawakucheza mechi yoyote ya Al Merrikh hadi sasa. Wamefungiwa kucheza hadi katikati ya Aprili. Wamefanya uamuzi wao wenyewe," alisema mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez.
Ikiwa itabainika ni kweli Al Merrikh waliwachezesha wachezaji ambao hawakustahili kucheza, itaondolewa mashindanoni.
My Take
Nimefuatilia vyanzo mbalimbali nje ya nchi hapo kuna wachezaji wawili Mohamed Al-Rashed and Ramadan Agab. Mo Dewji na CEO Barbara fanyeni chap tujipigie point 3 na goli 2.
View attachment 1720214View attachment 1720457