Mwanaume 45+

Mwanaume 45+

Okay hapo sawa

By the way wewe na mumeo umri wenu umekaaje?

tumepishana mwaka 1 tu!pale juu nilisema babangu alimzaa mdg angu lastborn alikua age hizo 45 -48 hv dogo ana akili sana ! nikarelate na hayo ya utafiti! ila mama akizaa na umri mkubwa possiblty za kuzaa na utaahira ni kubwa ! dada ngu mmoja kazaa na 44 mwanae kila mtihani ni wa mwhisho! namshauri tu ampe almond
 
Mkuu nashukuru kwa mchango wako. Sitegemei mwanaume nipo na maisha yangu na ni mtu mzima sio msichana kwa hivi natambua nini natafuta sitafuti mtu wa kunijengea maisha nahitaji mtu awe rafiki yangu mpenzi wangu na zaidi mshirika wangu.

nimekupenda bure we mdada!
 
Mwanaume akiwa 45+ na hajao mchunguze vizuri aisee........

Kuna namna ndio maana wanawake wanakimbia
 
BBC wametangaza utafiti, watoto waliozaliwa na baba wa umri mkubwa ni werevu zaidi ya wenye baba vijana... habari ya mjini wazee [emoji445][emoji444] "vibabu wako juu, backed up by a valid research
Daah! Huenda na mwanangu wa kwanza akawa Genius maana nimempata nikiwa na miaka 30
 
wacha unoko wewe! ntakutongoza Mimi!!!!??

naona unaimalizia wknd mubashara kbs ya ngap hyo!!!!!!!!! sikia km una miaka kuanzia 45 kwenda juu possibilty za kuzaa mtoto bright n kubwa sasa ww una 30 wap na wapi?utazaa wa kawaida tu labda mamake awe na akili itakubeba hapo lakini km ndo wale kina HAWAIII GHASIA U ARE TOTALY FINISHED!!!!!!!!!!!
 
Mkuu huyo atakuwa mtu aliekimbiwa na mke au aliefiwa na mke na ana watoto. Au mtu mwenye shida ambae ameachana na wanawake kadhaa. Kwa wote niliowataja hapo juu wote wanashida isipokuwa huyo aliefiwa na mke. Aliekimbiwa au kimbia hakufaai hata kidogo atakuwa anakuhukumu kupitia uzoefu wa majanga ya mahusiano yaliyopita kumbe wewe haupo hivyo. Pia embu tueleze unataka babu wa nini? Au wewe pia umeshindikana na vijana wenzio au mzee mwenzio? Kwanini hadi umri huo haujaolewa? Kama uliwahi olewa kwanini uliachika/acha ndoa yako ya awali?
 
samahan nahitaji kujua hiv mwanaume wa miaka 45 ni babu!???hivi sio mtu mzima huyo tu
 
samahan nahitaji kujua hiv mwanaume wa miaka 45 ni babu!???hivi sio mtu mzima huyo tu
Katika ulimwengu wa mapenzi na michezo ambayo inahitaji physique huyo ni babu haswaa. Huyo hata akipiga mechi nyingi au bao nyingi kwa siku au kwa wiki anajihatarisha kupata tezi dume. Trust me, huyo hata akizaa mtoto ktk umri huo mtoto anamaliza primary jamaa anakuwa umri wa kustaafu ndio ana hangaika kusimesha sekondari kama anasomesha mjukuu. Huyo hawezi piga show za uhakika bila enhencement drugs(pills). Linaweza kuwa bao moja lakini ni la uhakika kama bado "NGUFU" bado ipo.
 
hahahaha kumbe!
 
Atapatikana naamini hivyo. Si kweli wanaume wote mpo sawa. Unataka kuniambia wanaume wooooote waongo? Umri si kigezo wapo wagane waliochwa walioacha hata ambao hawakuwahi kuwa na ndoa.
nimekutafuta pm,naambiwa umelimit nani awasiliane nawe,ukiweza kuni-pm itakua kheri
 
Mwanaume wa 45+ yupo kweli?

Ukweli upo hiviiiii!!

* Below 45 don't bother yourself ku pm please!
* Mkristo
* Mpole
* Relocate🙁! Yawezekana?
* Waume za watu don't bother ku pm please!
Paukwa .. "Pakawa"
 
Mkuu ukimpata usisahau kutupatia mrejesho.
 
Miaka 45 sijaoa ila Nina watoto 2 kama upo tayari ila watoto sipendi wapate manyanyaso uwapende kama ninavyowapenda
 
Back
Top Bottom