Okay hapo sawa
By the way wewe na mumeo umri wenu umekaaje?
Mkuu nashukuru kwa mchango wako. Sitegemei mwanaume nipo na maisha yangu na ni mtu mzima sio msichana kwa hivi natambua nini natafuta sitafuti mtu wa kunijengea maisha nahitaji mtu awe rafiki yangu mpenzi wangu na zaidi mshirika wangu.
Daah! Huenda na mwanangu wa kwanza akawa Genius maana nimempata nikiwa na miaka 30BBC wametangaza utafiti, watoto waliozaliwa na baba wa umri mkubwa ni werevu zaidi ya wenye baba vijana... habari ya mjini wazee [emoji445][emoji444] "vibabu wako juu, backed up by a valid research
Daah! Huenda na mwanangu wa kwanza akawa Genius maana nimempata nikiwa na miaka 30
wacha unoko wewe! ntakutongoza Mimi!!!!??
Mkuu huyo atakuwa mtu aliekimbiwa na mke au aliefiwa na mke na ana watoto. Au mtu mwenye shida ambae ameachana na wanawake kadhaa. Kwa wote niliowataja hapo juu wote wanashida isipokuwa huyo aliefiwa na mke. Aliekimbiwa au kimbia hakufaai hata kidogo atakuwa anakuhukumu kupitia uzoefu wa majanga ya mahusiano yaliyopita kumbe wewe haupo hivyo. Pia embu tueleze unataka babu wa nini? Au wewe pia umeshindikana na vijana wenzio au mzee mwenzio? Kwanini hadi umri huo haujaolewa? Kama uliwahi olewa kwanini uliachika/acha ndoa yako ya awali?
Katika ulimwengu wa mapenzi na michezo ambayo inahitaji physique huyo ni babu haswaa. Huyo hata akipiga mechi nyingi au bao nyingi kwa siku au kwa wiki anajihatarisha kupata tezi dume. Trust me, huyo hata akizaa mtoto ktk umri huo mtoto anamaliza primary jamaa anakuwa umri wa kustaafu ndio ana hangaika kusimesha sekondari kama anasomesha mjukuu. Huyo hawezi piga show za uhakika bila enhencement drugs(pills). Linaweza kuwa bao moja lakini ni la uhakika kama bado "NGUFU" bado ipo.samahan nahitaji kujua hiv mwanaume wa miaka 45 ni babu!???hivi sio mtu mzima huyo tu
Katika ulimwengu wa mapenzi na michezo ambayo inahitaji physique huyo ni babu haswaa. Huyo hata akipiga mechi nyingi au bao nyingi kwa siku au kwa wiki anajihatarisha kupata tezi dume. Trust me, huyo hata akizaa mtoto ktk umri huo mtoto anamaliza primary jamaa anakuwa umri wa kustaafu ndio ana hangaika kusimesha sekondari kama anasomesha mjukuu. Huyo hawezi piga show za uhakika bila enhencement drugs(pills). Linaweza kuwa bao moja lakini ni la uhakika kama bado "NGUFU" bado ipo.
nimekutafuta pm,naambiwa umelimit nani awasiliane nawe,ukiweza kuni-pm itakua kheriAtapatikana naamini hivyo. Si kweli wanaume wote mpo sawa. Unataka kuniambia wanaume wooooote waongo? Umri si kigezo wapo wagane waliochwa walioacha hata ambao hawakuwahi kuwa na ndoa.
Paukwa .. "Pakawa"Mwanaume wa 45+ yupo kweli?
Ukweli upo hiviiiii!!
* Below 45 don't bother yourself ku pm please!
* Mkristo
* Mpole
* Relocate🙁! Yawezekana?
* Waume za watu don't bother ku pm please!