Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mfano 1 ndoa na maisha ya mahusiano
Kuna watu ni kutwa kuponda ndoa na maisha ya mahusiano kwa ujumla, hivi kweli mwanaume rijali ni wa kuogopa ndoa au Maisha ya mahusiano seriously, unapinga ndo au Maisha ya mahusiano una embrace usingle alafu uko bize kuhang na fuckbuddy, unapiga punyeto au kununua Malaya huo ni uzwazwa si Bora uwe na mahusiano ambayo ni proper
Kuna watu wako bize na wanawake ambao sio level zao wakiwakosa wanaishia kumaliza makasiriko Yao kwa kuponda ndoa au mahusiano, kwenye maisha tafuta wanawake ambao ni level zako, achana na wale ambao sio level zako utaumia sana, mwanamke ambaye sio level zako mtaishia kushindana kila siku na ni ngumu kukiheshimu. Ni ngumu sana kukuta mtu ana-deal na wanawake wa level zake alafu umkute analalamika kuhusu mahusiano
Ni kweli Kuna watu kwenye historia hawajawahi kuoa na wameifanyia Dunia mfano Nikola Tesla, newton na wengineo, tofauti ya hawa na vijana wa kileo walikua bize kuifanya Dunia a better place walikua bize na mambo yao, Sasa wewe mwenzangu na mim hutaki mahusiano alafu uko bize kununua Malaya, kupiga masturbation, wewe ni failure na ni mwoga wa maisha
Kijana ambaye huogopi maisha tafuta mwanamke oa akizingua kwenye kiwango ambacho hakivumiliki piga chini tafuta mwingine wanawake wameumbiwa Wanaume
Kuna wazee kipindi Chao Cha ujana hawajaoa wamekua ni kikwazo wanataka kuhuumiwa na wanawake (wabibi) ambao Wana waume zao yaan wamegeuka kua ni tatizo kwa ndugu zao asiyekuambie mtu umuhimu wa kuwa mke na watoto utauona ukiwa Mzee wakati nguvu huna
Hamna kitu kibaya kuzaa zaa na kila mwanamke, jamii inayokataa ndoa lazima kuwe na kizazi ambacho hakina heshima na malezi mabovu ni tofauti na mtoto aliyezaliwa na baba na mama, mtoto anakua anamuona baba au mama kila uchwao ni kubailisha Leo yule kesho mwingine unadhani mtoto atakua na heshima ni ngumu
Mfano 2 fantasy
Hakuna sehemu Kuna fantasy kama jamiiforum mim Nina account nyingine ya biashara, kwa hiyo nafanyaga biashara na watu wengi wa jamiiforum asikuambie mtu jinsi mtu anavyovimba huku jf ukikutana naye huwez amin unamkuta mtu ana maisha ya kawaida Ila huku jf ukimuona utafikiri ni zimba flani, hili group limechangia kwa kiasi kikubwa kuwafanya watu waogope maisha sababu wao kila kitu Wana ki-exaggerated huku hili Hali wao hawaishi hayo maisha, hii imepelekea watu kuogopa kufanya vitu kwa kufuata comment za huku
Mfano 3 kufail kwenye jambo flani
Kuna watu wamefail kwenye biashara, matokeo yake wamegeuka kuwa ni kero na kikwazo kwa watu wengine ambao wanataka kuingia kwenye hio biashara, wengine ndoa zimewashinda Ila wamegeuka kuwa kikwazo kwa watu wanaotaka kuingia kwenye ndoa, kwenye maisha ukifail wewe kwenye jambo husika haimaanishi kila mtu ata fail, ukifail kwenye jambo husika usiwe ni kikwazo kwa watu wanaotaka kufanya jambo lile like ulilofail kwa kuwajaza hofu kila mtu ana maisha yake na Bahati yake
Mfano 3
Una degree unamiaka 35+ still unalipa laki 3 au bado unajitolea alafu unaogopa kuacha hio kazi huo ni uoga wa kiwango Cha juu Cha maisha thamini elimu yako na gharama ulizotumia
Fear of failure and tomorrow imewafanya vijana wengi sana waishi mediocre life
Samahanin uandishi sio mzuri sana