Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Kosa lako ni kuandika kihuni huni. Mfano badala ya kuandika "sasa" unaandika "xaxa " pia kuna baadhi ya maneno unaboronga.
Kabla hujapost thread yako unatakiwa uihariri kwanza. Welcome Jf beautiful natural girla.
 
Hakuzaliwa mwanaume
So mi namchukulia kama mwanamke tu

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kwahyo mwanaume anamfuko wa mimba

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom