Richard chilongani
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 324
- 112
Shameful msanii yeye kama kioo cha jamii kukatiza Shule Mwanafunzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo mtoto hukute hapendi shule na wazazi wake hawajamtilia mkazo kwenye swala la elimu ndomaana anajionea sawa tu kuwa na mahusiano na wahuni!Shameful msanii yeye kama kioo cha jamii kukatiza Shule Mwanafunzi
Mkuu wewe ni mwalimu wake na huyo binti?
Kawaida yani demu akimuona anamsalimia tu hamtukani kama jamaa alivyotarajia.Ha ha ha..huyo vale wel anazingua...."wakikutana wanakua kawaida" maana ake nn?? Yey na mzuwanda wote wanamega??
Eti msanii ana pesa!!Nani?Mziwanda??!!Haya.Mimi nashangaa juzi kuna MTU kaoaa dent police wakamkamata hiyo muoaji kwa kumuoa Mwanafunzi Leo hii huku kwa msanii anapesa kimya
l'ignorance est une chose terrible pour les hommes dans dar es salaam[emoji1]Wewe kweli choko wa mikoani
kwelii?!!Huyo Dada mpz wake mziwanda ni Mwanafunzi wa drs la saba aliyeachishwa Shule ya msingi Gilmani Rutihinda iliyopo Kata ya Kigogo wilaya ya kinondoni. deal limechezwa mtoto kaachishwa Shule.Na amesajiliwa kufanya Pepar ya mwezi September nashangaa hata hatua za kinidhamu hazija chukuliwa hii ndiyo Tanzania ya magufuri kwa kwenye Pesa wanatesa