Mwanaume ajitokeza na kudai ameporwa demu na Nuh Mziwanda!

Nadhani mamlaka husika zinahusu hapa kama wanaweza kuzuia ndoa za umri "chini ya kiwango na vigezo" wanashindwa nini kuzuia uzinifu uliokosa "vigezo"na "kiwango"
 
Chemba la msengenyo limenoga [emoji108] [emoji108]
Huyo Dogo analeta Picha ya mwaka 2009 kwani hajui kuwa kila zama na kitabu chake.
 
Wanaume wa dar bana akili saizi ya pilton....

Mtoa mada utakuwa ni mwanaume wa dar
 
Kumlilia mwanamke ni upuuz

Nae atafute mnyonge ammegee
 
kwelii?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…