Mwanaume ajiua baada ya mabishano na Mama yake

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Peter Mwangi (44) amejiua baada ya kubishana na Mama yake ambaye amewaambia Polisi walianza kubiashana baada ya yeye kumpa zaidi ya Kilo 10 za mahindi akauze lakini alitumia fedha hizo kunywa pombe.

Baada ya mabishano, Mama yake alipokea taarifa baadae kuwa Mwanaye amejiua. Mwili wake umehifadhiwa ukisubiri uchunguzi zaidi.

Kwa mujibu wa mashahidi wa tukio hilo lililotokea Kijiji cha Mutinu Kaunti ya Kirinyaga, Mwangi alijirusha kwenye bwawa la samaki lililokuwepo kwenye shamba la karibu na kufariki.

===

A 44-year-old man committed suicide on Monday after a confrontation with his mother at Mutinu village in Ndia Constituency, Kirinyaga County.

According to eye witnesses, the deceased; Peter Mwangi, threw himself into a fish pond at a nearby farm where he drowned.

The mother of the deceased told police that she got into an argument with her deceased son after she gave him over 10 kilogrammes of maize to sell but he used the money to drink illicit alcohol.

After the disagreement, the woman said she was later informed that the 44-year-old had killed himself.

“I had been feeding him since his wife disappeared from home after disagreements. Right now i’m taking care of his son,” his mother said.

Ndia Deputy Sub-county Deputy County Commissioner Moses Ivuto said the body was taken Kibugi Funeral Home waiting postmortem.

Source: Citizentv.co.ke
 
Mentally disorder. Watu wanapigania uhai kwa gharama kubwa mno.
We unaenda kuwapa samaki. Aibu kwa ukoo
 
Kwahiyo kwa kujiua amejua kuwa kamkomesha mama yake!kweli shetani ukimuendekeza lazima akutende.
 
Kenya kuna matukio ya ajabu ajabu tofauti na Tanzania , sijui kwa nini?
 
Tatizo tunayapuuza maandiko, umri huo alipaswa kuishi na mke na watoto wake na sio kwa mama yake. Hapo sasa wote ni watu wazima na mtoto kwa mama hakui, so probably huyo mama alimjibu maneno ya dharau na kebehi huyo mwanae akiamini kuwa hawezi mfanya chochote.
Kuishi na hawa watu uwe na moyo aisee! Haijalishi ni mama, dada, Shangazi au Mke......kuna kipindi wanakera sana.
 
ndo maana wanawake wanalalamika watoto wa kiume hawakumbuki nyumbani kumbe ni tu hatuzipendi kero zao
 
Laana...!!! Yaani at 44 bado mtu anaishi na mama yake
 
Kilo kumi za mahindi inabidi tuwasaidie majirani chakula kidogo vinginevyo hali itakuwa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…