Mwanaume akikuambia, kuna mchongo naskilizia muwe mnaelewa

Msichana gani wa kisasa ambaye ataweza kuvumilia Kulala njaa wakati Kuna Mwanaume pembeni anaweza kumpa 30k ya kula just Kwa usiku Mmoja.

Ama msichana gani ataweza kuvumilia aendelee kunuka kipori pori wakati Kuna Mwanaume pembeni anaweza kumpeleka Saluni na kumnunulia perfume ya 100k ili kumfanya anukie vizuri

Kwa Dunia ya sasa itakuwa ni 10 Kwa mmoja πŸ™Œ
 
Babu kuna ule uzi wa dada mmoja humu analalamika kuachwa baada ya mwanaume wake kutoboa, umesoma comments za wanaume mule?

Wasichana wa hivi wapo wengi tu, lakini mwisho wa siku wanaishia kuachwa Wanaume wanaenda kutafuta type zao.
 
Umeniita babu? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Babu kuna ule uzi wa dada mmoja humu analalamika kuachwa baada ya mwanaume wake kutoboa, umesoma comments za wanaume mule?

Wasichana wa hivi wapo wengi tu, lakini mwisho wa siku wanaishia kuachwa Wanaume wanaenda kutafuta type zao.
Jirani....
It's a matter of
View attachment 2947422
Unatumaje taarifa unashindwa hata kuithibitisha? Huyu ndo raisi wa Senegal, acha kufoward bila kuverify
Ningekujibu lakini, ngoja nione namna nzuri ya kukomenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…