Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

Najua sana kama inawezekana, mbona hata Mimi nilikaa kwenye friendzone miaka kibao mpaka akija ghetto analala mpaka asubuhi na sifanyi chochote
Hatimae umekubali😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…