Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Value of x ni weweFind kwanza the value of X mkuu
yaani me baba yako nimekuelewa, hao vijana wenzio ndo hawaamini mpaka wanauliza tuswali twa kichokozi....Hakuna kitu inasisimua kama moments ambazo mnakuwa nazo mkuu…
Mnacheza karata,kula,kuwa na muda wa kutembea pamoja,na kupeana spesi kidogo ili kumisiana kiaina…siunajua ee[emoji3059][emoji3059]
Tatizo nimeruka sana vipengele 😔😔Kwamba jamaa alikuwa rafiki huna feelings nae baadae mkatengeneza ukaribu mkawa wapenzi ila baada ya hapo akawa kama amekukaushia ila akaibuka akakupa mchongo wa kuingiza hela.
Ndio nikauliza mzigo amekula au anaremba remba?
Haina noma. Ni jambo zuri ila mtaachana tu.Tatizo nimeruka sana vipengele 😔😔
Alikuwa ananilia bati kunipimia mwishowe feelings zikamshinda kufichika kaamua aziachie tuendeleze mahusiano yenye faida🥰🥰🥰
maneenah...mtaachana tu.
Boss wangu ✅
🤣🤣🤣🤣
Kipi bora mkuu..kununuliwa chocolate au kupewa chanzo cha kukufanya ujinunulie chocolate mwenyewe mabox kwa mabox kila mwezi?Ni kawaida kucheka cheka pindi mapenzi yakiwa bado mapya ya kununuliana zawad ndogo ndogo Kama chocolate ila haichukui muda mrefu.
Hutaki koneksheni ya 500K kwa wiki?Hapana 😁😁
Sidhani kama kwenye huo muda wote hawakuanguka dhambini, maana akiandika walivunja ile amri hapa jukwaani tutamsema na atapaniki sana 😂😂😂amevumilia friendzone ya miaka 3....
he deserves it😂 apewe kidogo