Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

Hakuna kitu inasisimua kama moments ambazo mnakuwa nazo mkuu…
Mnacheza karata,kula,kuwa na muda wa kutembea pamoja,na kupeana spesi kidogo ili kumisiana kiaina…siunajua ee[emoji3059][emoji3059]
yaani me baba yako nimekuelewa, hao vijana wenzio ndo hawaamini mpaka wanauliza tuswali twa kichokozi....

ndo maaaaaana, kwa hiyo furaha ustokeee
 
Kwamba jamaa alikuwa rafiki huna feelings nae baadae mkatengeneza ukaribu mkawa wapenzi ila baada ya hapo akawa kama amekukaushia ila akaibuka akakupa mchongo wa kuingiza hela.


Ndio nikauliza mzigo amekula au anaremba remba?
Tatizo nimeruka sana vipengele 😔😔

Alikuwa ananilia bati kunipimia mwishowe feelings zikamshinda kufichika kaamua aziachie tuendeleze mahusiano yenye faida🥰🥰🥰
 
Back
Top Bottom