Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Dr unachomoa waya kwenye betri
[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Dr unachomoa waya kwenye betri
[emoji2]
Kila lakheri kwenye penzi jipyaNinaimani wewe ndie uliyeweza elewa uzi Kwa asilimia[emoji3059][emoji3059]
[emoji109][emoji109][emoji109]
Mi nmeyamissDr unachomoa waya kwenye betri
😃
Tuachane na kung'amua kwanza.Jitahidi king’amua mkuu
Nimeitoa Kwa anko gugo ndugu yanguTuachane na kung'amua kwanza.
Hebu tuzungumze kiutu uzima mkuu. Hapo kwenye avatar ni wewe?
Aisee huwa nikiona nyuzi au comments zako naishia kukodolea hizo lips tu.
Tupumzishe kidogo mkuu. Usisahau kwamba katika maeneo mengi nchini Tanzania kuna baridi kipindj hiki [emoji23][emoji23].
Ukipenda hata niuwaweUtakula konzi mheshimiwa😆😆
kitafahamika huko huko [emoji23][emoji23], bando likiisha kwake unawasha hotspot mnatumia lakoBwana wa Majeshi asimame maana kusainiana cheti si kazi….kazini ni baada ya cheti kuzoea kabati jee kitaendelea kuwa vile vile?au ndo kitanyeshewa mvua na jua[emoji16][emoji16]
hiyo excitement inaonyesha peak ilifikiwa, siyo tu kuliwa [emoji23][emoji23]Mzigo alikula au ndio anaremba remba?
Kwamba jamaa alikuwa rafiki huna feelings nae baadae mkatengeneza ukaribu mkawa wapenzi ila baada ya hapo akawa kama amekukaushia ila akaibuka akakupa mchongo wa kuingiza hela.Chief umeuelewa uzi lakini?😁
Mie mzimaa, cjui wee,My love nimeshakutumia tayari[emoji38][emoji38][emoji38]
Nimekumiss.mzima?
Hakuna kitu inasisimua kama moments ambazo mnakuwa nazo mkuu…hiyo excitement inaonyesha peak ilifikiwa, siyo tu kuliwa [emoji23][emoji23]