Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

Hello...hello...hello...😍

Hamjambo jamani huku ndani? Nina imani nyote mnaendelea vyema sana. πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ

Sasa basi, sijui huu ni ushuhuda, elimu, au uvumilivu. Hebu nyie someni halafu muone inakaa kwenye nini. 😁

Nisiwapotezee muda jamani, mambo ni mengi.

Sijui nilibahatika au ni kweli kuwa kuna wanaume wako hivi? Sijui lakini yote kwa yote, wacha nililete mezani.

Ninaamini mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake, huwa hakosi namna ya kuweza kukupata (hapa nieleweke sio kwa kulazimisha kumtoa mwanamke kwa mwanaume mwenzako. Hapa ni pindi ukijua hana mtu. Ukatumia pesa kumtoa mwanamke kwa mwanaume... 😁😁 My friend, kuna siku atapatikana mwenye pesa zaidi nawe utatolewa. πŸ˜ƒπŸ˜ƒ) Mapenzi ya kiwaki kishenzi.

Basi bhana, jamaa aliniimbisha songi muda mrefu kiaina. Sikuwa nikielewa, akili ilikuwa inawaza wali maharage tu. 🀣🀣 (Kiukweli sikumtilia maanani kabisa mtongozo wake.) Siku zikaendaaaaa. 😁😁 Siku moja akaniomba tufanye walking, sikuvunga siku hiyo.

Nikapiga kipensi, t-shirt, raba, na kofia, haooo tukaanza walking mdogo mdogo. 😁😁 Akaniambia "u look gudπŸ₯°πŸ₯°," kichwa kikajaa. 😁 Tukaendelea kubadilishana story za hapa na pale (tuko kwenye mazingira ya kuonana kila mara na huyu mwamba alikuwa ni mshkaji kwa muda kama wa miaka mitatu, so hiyo walking ilikuwa ni ya kawaida kabsa).

Kati ya story nyingi za kawaida tulizopiga siku hiyo ni pamoja na "mara ya mwisho kucheki afya ni lini?" Akaniuliza, nikamjibu. Na mimi nikamuuliza, "na wewe lini ilikuwa mara ya mwisho?" Akanijibu. 😁😁

Akaendelea... "Kwahiyo nikisema tupime afya sasa hivi uko tayari?" Nikamjibu ndio. 😁😁 Kichwa yake mbaya sana huyu mwamba, kwahiyo alifikiri nitaogopa. 🀣🀣

Akaniuliza ratiba yangu ya wiki mbili zijazo, nikamjibu. Tukaishia hapo kwenye mazungumzo, tukaendelea na walking.

Siku moja ndani ya zile wiki mbili, akaniuliza siku fulani utakuwa wapi? Nikamjibu nitakwenda sehemu fulani (anaijua) kwa muda wa siku tatu, akasema sawa, kila mtu akaendelea na mambo yake. 😊

Siku ya pili kati ya zile siku tatu, akaniambia yuko hiyo sehemu niliyopo, amekuja kwa ajili yangu (hapo tayari akili yangu imeshaacha kuwaza wali ndondo. 😊😊) Ninamuangalia mwana kwa jicho la tofauti kabisa.

Nimejaribu kufupisha kidogo jamani pamoja na kuruka ruka baadhi ya vitu, lakini historia ikabadilika.

Mshkaji bhana, baada ya kubadilisha uhusiano wetu wa zamani na kuwa mpya, akanilia bati. 😁😁😁 Nakuja kustuka, mbona kama nimeliwa bati chakorii mimi. 😁😁 Woi, nikavunga kiaina, lakini dizaini kama nilimuelewa mwana.

Siku hiyo sina hili wala lile, simu ikaita, "Chakorii uko wapi?" Nikamjibu, "Niko sehemu fulani." Akasema, "Tukutane sehemu fulani, mie sawa." Tukakutana, stori mbili tatu, akaanza, "Chakorii, sina uwezo wa kukulipa kuwa na wewe kwenye mahusiano, lakini kuna kitu naweza fanya juu yako. Mimi ehee..." 😊

"Kuna biashara ninaifanya, naomba baadhi ya wateja wangu nikupatie wewe uwe unaingiza faida ya 350,000 kila mwezi au zaidi. Hiki ndicho ninachoweza kukifanya kwako," akasema. Nilimshukuru sana aise. πŸ™ Ngoja nifupishe.

Huyu masta ninamuombea maisha marefu duniani, na Mungu azidi kumbariki kila inapoitwa leo.

Japo kwa kuruka ruka, hatimaye nimemaliza kuandika. πŸ’ƒπŸ’ƒ

πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
fiction story
 
Sasa chibonge wangu [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182], ukifanya kunipasia 40k unahisi kuna kitu kitapungua kwako??

Nweiii watu wa kweli wapoo na wana malengo mazuri, nje ya Ngonoo. [emoji122][emoji122][emoji122] to him
Mungu anisamehe tu kwa kweli, ila sijui kwa nini kila nikiangalia hio avatar yako akili yangu hua inanipeleka kwa Sarah Bank[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaah kwamba nitumie wakati uliopo timilifu?😁 haya endelea kunielewesha, mwamba anamega keki ya taifa hadi hapa story ilipoishia?😁
Kipi bora kati ya hivi?
1.umuombe mtu pesa akupe,
Au
2.akuonyeshe njia namna ya kuipata hiyo pesa uliyomuomba kila mwezi?


Kama na hapa hutuelewa ikakurahisishia namna ya kuelewa uzi….hakika sitakuwa na msaada
 
Aiseee dadeq! Hii kitu aisee sijui hata kwann umeweka pichaπŸ€”huku Kwa chalamila napata Kwa tabu mpaka niweke order
Kigamboni pale Kwa Mworomboo wanayo(kama bado hawajahama)kituo cha bus ni Kwa Chagani.

Upande wa kulia kama unatokea tungi(unavuka barabara)
Upande wa kushoto kama unatokea Ferry.
Inatazamana na uzio wa Jeshi.
 
Maisha yalivyo nyoso unaweza kushangaa mume kabisa wa kuoa binti yetu yupo kwenye hao wateja wa uyo mwamba[emoji16]
 
Ukute umekunywa hujalewa sana yaan unakua na wenge flan afu kale kamzuga ka kukojolea kichakani 😁😁😁😁Raha yake
Nimejaribu kupiga picha ya mbege mkuu lakini ikaja na ya migomba shambani πŸ€ͺ
 
Kipi bora kati ya hivi?
1.umuombe mtu pesa akupe,
Au
2.akuonyeshe njia namna ya kuipata hiyo pesa uliyomuomba kila mwezi?


Kama na hapa hutuelewa ikakurahisishia namna ya kuelewa uzi….hakika sitakuwa na msaada
Nimeshakuelewa mkuu!
 
Back
Top Bottom