Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Ma Mshuza

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
207
Reaction score
1,122
Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami.

Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na awe anajiamini. Napenda mwanaume ambaye muda mwingi in public yupo serious. Ila aliwa nami room au home tutaniane na tucheze.

But pia ani treat mimi kama mtoto na pia aniheshimu na kunipenda. Awe muwazi... Mkweli asifiche hisia zake kwangu. Apende watoto na awe msikivu. Asiwe na mwili wa uzembe. Afanye zoezi kidogo atanuke juu akinikumbatia ni feel. Awe msafi asinuke jasho wala kikwapa.

Ajipende na apendeze na kakitambi kidogo ka kuvalia suruali ya kitambaa na shati. Apige mavazi tofauti tofauti. Hapo sasa nitakuwa natamani tu nimwangalie akiwa anafungua mkanda anataka kupanda kitandani tufanye mapenzi. Huwa napenda hicho kipengele. Avue namwangalia. Kisha arukie kitandani na kuanza nikiss kila sehemu.

Tuvulana twa siku hizi hatuna hizi sifa... Tunakaa kujisifia tu ujinga na tunafikiri wanawake wote wanashida na pesa... Tunalamba lamba tu lips. Mimi mwanaume miaka ya nyuma nilikuwa nampima pia kwenye ulaji wake. Kama anakula kamsosi kama ka mtoto au msichana hata sitotaka kutoka naye out tena. Mi nakula... Na mazoezi nafanya sina kitambi. Chakula kinaenda maeneo yake stahili.

Namtafutia mdogo wangu mwanaume wa maana mwenye sifa hizo. Mi nimeshapata wangu. Umbo lake naye ni namba 8 ya ukweli si ya michongo. Graduate anafanya biashara ana duka la nguo na viatu.
 
Weka picha mkuu
 
Matokeo ya sensa unayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…