Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Acha tu roho juu juu ukikosea hesabu usingizi hupati [emoji23][emoji23]

Pesa ya baby unaenda nayo American nail’s, mara kwa Lulu’s hair ngoja ikate [emoji1787][emoji1787] unamtafuta mtoto Iddy akuweke tips za bei nafuu
Mungu atutunzie mababy wooote wasio na mkono wa birika🤣🤣🤣🤣
 
.....in public yupo serious. Ila aliwa nami room au home tutaniane na tucheze......
halafu ukute jogoo halipandi mtungiiii

mwanaume umwazaye bado hajazaliwa
 
Tafuta Roboti, alafu mpe mtengenezaji hizo sifa zako, mwanaume awe na vitu vyote hivyo, wewe una nini? Ukute una demand hivyo vitu wakati ww hopeless kabisa.
 
Baada ya Marobot ya Kike ya Bwana Elon Musk yatafuata Marobot ya Kiume, muhimu utoe Order yako mapema.

Nimesikia yatagharimu shilingi milioni 4 tu yakitoka 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…