Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Wakati huo mwanaume anakuja na mazaga zaga yote hayo uliyotaja

Wewe una nini na nini cha ku-offer?
kumamae umemuuliza jambo nililotaka kumuuliza. Mianamke mingi hasa ya mijini inavipaumbele mia kidogo nataka mwanaume awe hivi awe vili huku ukilitizana janamke lenyewe la ovyooo hata likitoa salaam siitikii nalo ati utalikuta liko nata mwanaume awe nye nye nye alafu nye nye nye huku hata linikiangalia tu nahisi kuambukizwa mamikosi.

(By the way mianamke mibovu ni zaidi ya 90%) wanawake wazuri ni wachache mmo na wote wameolewa.
 
Hahaha utakuta kibonge mwenye sura ya kambale anaandika hivi... No offense ila tambua kila ndege ataruka na afananae, mimi sipendi wanawake wa aina yako haswa akiwa kibonge FAT na kitambi cha bia.

Any chances umefanana hata kidogo na huyu mrembo? If not then on your way finding that stupid bastard!
 
Wewe una nini cha Ku-offer? Apart from namba 8 yako na mbususu.

-Kaveli-
 
Huyo mtu uliyemuelezea hapo una uhakika yupo??usije kuwa unaota tu hapo.
 
Sasa mbona PM yako umeifunga, maana umetaja sifa zangu zote, hujabakiza hata moja, mpaka nikadhani unanifahamu. Ni PM basi
 
Nina sifa zote, tatizo pesa, pesa ni maua. Anyway mungu amtunze huyo mtoto mzuri mwambie bado mume mwema najitafuta
 
Unakuta mleta mada ni kitoto cha form 4 tu kimemaliza mitihani ya mock kinakuja kusumbua watu
 
Hayo masharti ni Yesu tu ataweza we msubiri.
Hiyo mipaja yako kwanza ni gym tosha nani atakae kazi mbili mbili😮‍💨
 
mbona icho kiumbe bado hakijazaliwa. Hata marobot ya elon hayapo hvo jaman na hata wakiyaunda hayawez kua na sifa izo
 
mbona icho kiumbe bado hakijazaliwa. Hata marobot ya elon hayapo hvo jaman na hata wakiyaunda hayawez kua na sifa izo
 
 
Mh mbona hamna kiumbe kama icho duniani. Hata mkisema mumpe order elon musk nae atachanganyikiwa, yan awe na kitambi at the same time atanuke juu wee dada wee Ma Mshuza
 
Kwani Wewe si unawajukuu na unaitwa Bibi hujaacha tu Tabia zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…