Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

Sifa zote hizo awe nazo mtu mmoja?🥺🥺🥺

Bado akulishe, alipe mnapolala, ahakikishe umependeza, na kitandani akupe show ya kibabe na vurugu kibao...

Kweli NOBODY CAN STOP REGGAE
 
Kwenye maisha kuna baadhi ya vigezo tunavitaka ila sio vya msingi ndo maana ndoa hazidumu,single maza wanaongezeka kila siku. Linapokuja suala la maisha baadhi ya vitu havina umuhimu kwenye kujenga familia
Ok unamtaka wa hivyo alafu yeye hakupendi au yeye ajali kuhusu mambo ya familia maana yake utaishi maisha ya shida sana.
Unataka tako alafu tako lenyewe haliwezi hata kukufulia nguo,utajuta maisha yako yote.
Husband material+wife material is what matters
 
Noma sana!
 
scolastika nakuita...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…