hurrem_sultana
Senior Member
- Sep 6, 2018
- 136
- 361
akijibu nitagMguu gani unasemea kuna wengine tuna miguu mitatu.
Wenye Vitambi wengi wana Miguu mifupi.wenye mamiguu wengi huwa wanavitambi na hapo ndipo kinapokuja kigezo kingine
Umetumwa ee?... mie navaa 45-47Haipendezi wanaume kuwa na mguu mdogo,mwanaume kamguu kama msichana ni aibu kubwa,mwanaume guu unatakiwa angalau avae 45 au 44 ila sio 39 au 40 kama mdada. Wanaume wa dar vimguu vidogo sana na wanavaa visendo vya kike na vile visoksi vya watoto hawapendezi jamn[emoji1] [emoji1]
HahahaHahah hamkawii kusema wanavibamia pia.
hahaaaUzuri wa jf unaweza kukuta aliyeandika huu uzi ni mwanaume