hurrem_sultana
Senior Member
- Sep 6, 2018
- 136
- 361
Haipendezi wanaume kuwa na mguu mdogo,mwanaume kamguu kama msichana ni aibu kubwa,mwanaume guu unatakiwa angalau avae 45 au 44 ila sio 39 au 40 kama mdada. Wanaume wa dar vimguu vidogo sana na wanavaa visendo vya kike na vile visoksi vya watoto hawapendezi jamn[emoji1] [emoji1]