Mwanaume akiwa na mguu mdogo simkubali kabisa

Umejiunga JF juzi tu leo unakuja kuponda wanaume. Hebu nambie huyo kwenye avatar ndio wewe?
 
unataka wanaume wa kuvaa lisendo kama la kanye magaribi eeegh? hahahaaa just natania mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 

kula Big Like
 
Bora guu langu hili, maana nishawacheka sana jamaa zangu hasa pale nikiomba ndala zao kisha wananiwekea mgomo. Maana nikichomeka tu wayaaaaa, la sivyo niegeshe vidole kisha nitembee kama tumbili madoido.
 
Mapenzi hata Jana kila mdasa kina kitu anachokipenda kwa mwanaume.mashoga zangu ambao nimeshakutana nao wananambia wanapenda vitu hivi kwa wanaume.

1πŸ˜€ada v. Huyu ugonjwa wake ni mwanaume anaevaa cheni shingoni.
2: M. Huyu ugonjwa wake ni mwanaume mweupeee afu mrefu
3:F. Huyu ugongwa wake mwanaume ambae anaweza kumuimbia nyimbo
4: M. mwanaume anaejua kumshika nywele
Ahaaaa nimewakumbuka sana hawa mashost zangu
 
Kama hicho kigezo njoo mikoani tupo wengi hatuitaji hizo capeti ni mwendo wa kwirya(tairi)
 
Wafanye nin ili wawe na miguu mikubwa!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…