Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini muda wote mnawaza kunywa chai....matajiri tunawaza wineBila picha hii ni chai
nimecheka 😂😂😂We Dada shika adabu yako.......hivi mnatutakia nn vijana wa dar.....Mnatupa sifa mbaya embu tupumzisheni basi
Haipendezi wanaume kuwa na mguu mdogo,mwanaume kamguu kama msichana ni aibu kubwa,mwanaume guu unatakiwa angalau avae 45 au 44 ila sio 39 au 40 kama mdada. Wanaume wa dar vimguu vidogo sana na wanavaa visendo vya kike na vile visoksi vya watoto hawapendezi jamn[emoji1] [emoji1]
nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23]
We Dada shika adabu yako.......hivi mnatutakia nn vijana wa dar.....Mnatupa sifa mbaya embu tupumzisheni basi
Shit kudadadekMaskini muda wote mnawaza kunywa chai....matajiri tunawaza wine
Umejiunga JF juzi tu leo unakuja kuponda wanaume. Hebu nambie huyo kwenye avatar ndio wewe?