Mwanaume akiwa na mguu mdogo simkubali kabisa

Mleta mada, utakuwa unawashwa kwenye 'pachu pachu'... Asubuhi yote hii kuchokonoa wanaume kisa ni nini?
 
Kumbe mguu wa kuvalia viatu! Hata hivyo ujue kuna wanaume wenye mguu wa tatu, ukifoka tu utatamani ardhi ipasuke ujifiche
 
Kwa kawaida mguu wa chini unasadifu mguu wa kati

Nimekuelewa
 
Kuna umri utafika utaanza kuhangaika kutafuta hata mwenye mguu wa kachanga na hauta mpata.
 
Asee,, kwaiyo hilo guu ndo linaingia kwa ki.tumbua ama??
 

Okay hupendi miguu midogo tunakuelewa. Kwa viatu vyote huwa ni size ndogo, si kuna viatu vikubwa vya kuweza kuingiza miguu miwili bila shida na viatu vidogo pia? Ukiwauliza, wanaume wengi hawapendi likiatu kuuubwa la kupwaya hata kama una mguu mkubwa! Likiatu ni kubwa ukiingiza mguu hujui kama umevaa au bado hujavaa. Unakuta watu wanauza maviatu makuuubwa wanakosa wateja wanaanza kulalamika watu wana miguu midogo. Tatizo ni miguu au viatu?

Na pia mara nyingine sio kwamba ni mguu mdogo. Ni kwamba kiatu kinapwaya kwa kuwa kimepoteza elasticity baada ya kuvaliwa mara nyingi sana. Hakifai tena hata ukikifanyia repair au kutanguliza matambara ndani.

Kuna raba za Nike bwana ziko elastic ile mbaya, zinafit haijalishi size ya mguu!
 
Naskia kuna uhusiano kat ya mguu mdogo na "Dushe" ndogo. Kwhyo huu uzi wako, by implication, unawakataa wadau wny "dushe" ndogo!
heb pambanua kdg mkuu kwa sababu huwa nasikia pia huwa mnapima na midomo..[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…