Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Mleta mada, utakuwa unawashwa kwenye 'pachu pachu'... Asubuhi yote hii kuchokonoa wanaume kisa ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nilidhani anamaanisha mguu wa tatu 😀😀Mguu gani unasemea kuna wengine tuna miguu mitatu.
miss u wew mtu nani kakuficha mpenzDada akee
Kwa hiyo ndo yeye au?
Kwa kawaida mguu wa chini unasadifu mguu wa katiHaipendezi wanaume kuwa na mguu mdogo,mwanaume kamguu kama msichana ni aibu kubwa,mwanaume guu unatakiwa angalau avae 45 au 44 ila sio 39 au 40 kama mdada. Wanaume wa dar vimguu vidogo sana na wanavaa visendo vya kike na vile visoksi vya watoto hawapendezi jamn[emoji1] [emoji1]
Kuna umri utafika utaanza kuhangaika kutafuta hata mwenye mguu wa kachanga na hauta mpata.Haipendezi wanaume kuwa na mguu mdogo,mwanaume kamguu kama msichana ni aibu kubwa,mwanaume guu unatakiwa angalau avae 45 au 44 ila sio 39 au 40 kama mdada. Wanaume wa dar vimguu vidogo sana na wanavaa visendo vya kike na vile visoksi vya watoto hawapendezi jamn[emoji1] [emoji1]
miss u wew mtu nani kakuficha mpenz
Woyoooooooo!!!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Miguu mikubwa ya nini! Kwahiyo siku mkikosa mboga mtakata hiyo miguu mpike ...mbona hamjielewi nyie viumbe baadhi yenu ila sio cute b
Haipendezi wanaume kuwa na mguu mdogo,mwanaume kamguu kama msichana ni aibu kubwa,mwanaume guu unatakiwa angalau avae 45 au 44 ila sio 39 au 40 kama mdada. Wanaume wa dar vimguu vidogo sana na wanavaa visendo vya kike na vile visoksi vya watoto hawapendezi jamn[emoji1] [emoji1]
Hatari sana maana anavyosema miguu midogo inahusikajeKwani tunaingiza mguu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We Dada shika adabu yako.......hivi mnatutakia nn vijana wa dar.....Mnatupa sifa mbaya embu tupumzisheni basi
heb pambanua kdg mkuu kwa sababu huwa nasikia pia huwa mnapima na midomo..[emoji41]Naskia kuna uhusiano kat ya mguu mdogo na "Dushe" ndogo. Kwhyo huu uzi wako, by implication, unawakataa wadau wny "dushe" ndogo!
Nasikia eti na sie wanawake, wanaume wanatupima kwa kuangalia MIDOMO yetu.
Wanasema umbile la mdomo wako hasa ukumbwa wake ndio umbile la K.🙄🙄🙄🙄🙄