Mwanaume akiwa na mguu mdogo simkubali kabisa

Nasikia eti na sie wanawake, wanaume wanatupima kwa kuangalia MIDOMO yetu.
Wanasema umbile la mdomo wako hasa ukumbwa wake ndio umbile la K.🙄🙄🙄🙄🙄
Unataka kusemaje kuhusu wewe sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
So, unapenda guu kama hili!!?
 
Mbona na nyie wa kina dada hua mna miguu myembamba, mkivaa viatu mnakua kama mmesimamia mikono, ila hatusemi.

Mwanamke mguu wa bia, furushi kama kontena la makinikia bana.
 
Pole sana.
 
dadek, leo nimetukanwa!


I'm offended to my inner core!

unless uwe unamaanisha mguu mwingine tofauti na ninaoufikiria!
 
Sijaelewa mada mnyetishaji unaweza kufafanua kidogo mzee mama?
 
Asante kwa kuwanenea....afu huko dar wanaume huwa mnawafanya nn.....mbona mambo mengi wanafanya ili kuwavutia nyie but still mwishowe mnakuwa hamupendezwi na hvo vitabia.

Hebu orodhesheni vile mnapenda wajiweke......wanaume wa mikoani tumechoka kuwatafunia
 
Uko na shida ubongoni mwako wewe..
 
naskia mguu unatoa hints huyu mtu ni kibamia au la
 
Yaan kuna watu matahiira kabisa,sasa watu wanaoishi dar si wanatoka mikoani!wachache ndio wamezaliwa hapo
 
Wadada wa siku hizi ukisikia wanakuuliza size ya mguu kama wanataka kukupa zawadi ya kiatu, halafu kiatu hununuliwi, ujue wametaka kuuliza size ya mengine kwa ustaarabu wa mjini.

Fumbo mfumbie mjinga, mwerevu atang'amua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…