Mwanaume alieoa anapata tendo la ndoa kwa shida kuliko ambaye hajaoa

Tundusami

Senior Member
Joined
Feb 7, 2026
Posts
116
Reaction score
270
Wengi wanaamini wanapoteza ela kununua wanaamini wakioa watapata tendo la ndoa kwa urahisi bila longolongo ila kumbe walijidanganya/walidanganywa. Ukioa unapewa kwa kipimo mda mwingine inapita wiki mpaka mwezi bila kugusa iyo mbususu

Na wakipewa wanapewa kishingo upande bila ushirikiano wowote na wanaamua kurudi tena kutafuta wanawake nje ya ndoa yao.
 
Fanya utafiti, utakuta mkeo anaridhishwa na mtu mwingine...
 
Kiukweli ndoa ni kichefu chefu...tunavumilia tu!!!
 
Na mwanamke ukimuoa na akajua unaitegemea yake peke yake lazima akuoneshe visanga, ila akijua akileta pozi watakula wengine utaona anajitahidi sana akupe. Nyumba ndogo hazitakaa ziishe hata kama kila sebuleni kwa mtu kutajengwa kanisa/msikiti kukemea kula nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ