Mwanaume alieoa anapata tendo la ndoa kwa shida kuliko ambaye hajaoa


Na kwa upumbavu wao wanaamini hao wanawake ni kweli hawajisikii, Hakuna mwanamke asiyejisikia wala asiye na moody, wanaliwa huko barabarani Bure kabisa na watu wasiogharamia chochote!
 
Halafu huyohuyo mke akienda kushikwashikwa na jamaa wa nje anahemka na kulowa chapachapa ila kwa mume wake hasisimki, mume huamua kumla kibabe hivyohivyo na ukavu wake
 
Ndoa zina vituko balaa linakuja kwenye tendo la ndoa hapo ndipo uharibifu wa ndoa unapoanzia kunyimwa
 
Ndoa zina vituko balaa linakuja kwenye tendo la ndoa hapo ndipo uharibifu wa ndoa unapoanzia kunyimwa
Mnaosema issue ya kunyimwa mi nawashangaa sana ujue!

Mnakuwa mmegombana au?

Tena cha kutoa hasira ya ugomvi ni kitamu kuliko cha kawaida, hasira, chuki zote kutawanyika na msamaha kupitishwa..
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…