Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Maana huyu bidada anaenda Dubai Mara Kwa mara na anatumia iPhone za Tsh. milioni 3, tena mbili.

Hapa Dar kuna watu wana pesa nyingi sana za kuchezea aisee.
0981B2AE-B52F-4D44-BCA9-8B6B10F3C42D.jpeg
 
Ni Kweli wana hela za kuchezea.
Mimi ningekua mwanaume mahips yamechongoka kama sinia za sele bonge nisingepoteza hata mbuni yangu

Haha unamuonea wivu posh queen.. Mbona posh queen mrembo sana, ana chura mkubwaa, hata mm ningekuwa tajiri ningemhonga posh queen mamilioni princess ariana
 
Mwanaume au wanaume anao wauzia mbunye.

Huyo lazima afanye hivyo sababu hatoi jasho wala haumizi akili ktk kutafuta hela.

Yy kazi yake ni kutanua miguu,wanaume wanamlenga baada ya hapo anapewa chake wanaachana.

Anaweza akawa anajiuza, ila cdhan kama anajiuza Kwa staili hio, labda kama ww unamfaham face 2 face joseph1989
 
Mwanaume au wanaume anao wauzia mbunye.

Huyo lazima afanye hivyo sababu hatoi jasho wala haumizi akili ktk kutafuta hela.

Yy kazi yake ni kutanua miguu,wanaume wanamlenga baada ya hapo anapewa chake wanaachana.
anajiuzaje??

Mfano mimi namtaka naanzaje??

Kwani hawa wadada wa mjini ni wote wanajiuza?
 
Back
Top Bottom