Mwanaume aliye serious please.

Mwanaume aliye serious please.

kuna wengine kweli wanahitaji wanaume wa kuwaoa ila kuna wengine wanatumia JF kwa biashara ya ngono! sasa kumjua who is who ndio mtihani!
 
please niko serious nataka mume, anaye maanisha age 28- 32, Christian, me nina miaka 26 Nimeajiliwa hapa Dar

Picha muhimu,
Kuna kuuziwa Mbuzi kwenye gunia!!
 
please niko serious nataka mume, anaye maanisha age 28- 32, Christian, me nina miaka 26 Nimeajiliwa hapa Dar
huwezi kupata mume humu jf, we nenda kwamwombe Mungu kanisani utapata. mume mwema hutoka kwa Bwana.
 
please niko serious nataka mume, anaye maanisha age 28- 32, Christian, me nina miaka 26 Nimeajiliwa hapa Dar
Kweli miaka hii wanaume wamekuwa bidhaa adimu Preta mtakomajeee....tunaringaaaa!.:biggrin:
 
Last edited by a moderator:
Dah!!!!! Huna vigezo wala masharti, unaangalia umri tu. U must be joking. Jipange then tangaza nia.
 
Kupokea maneno ya faraja na hekima kwa siku ya kwanza utawapata wengi, hivyo jipange sawasawa mdada.
 
Back
Top Bottom