Mwanaume aliye tayari kuanza maisha ya ndoa aje

Niko hapa mai oko mbonyi xafo ulkuso kumonyi...
 
Image,tafadhali.
 
Ungenimbia uchumba ingekuwa poa ila ndoa tabia hujaijua unasema tu ndoa moko kwa moko iyo ni hatari kwa kweli
 
Jamani mtu una mp kwa njia gani? Mimi sijui
Hiii ni kozi ya miezi mitatu, unajaza form ya maombi ya kujigunza ku pm, ña ina ada yake, kama upo tayari kwa mafunzo nijuze [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
wanaume jitokezeni, huyu Dada toka mwakajana anapost anatafuta mwanaume, mwakajana alikua 27 mwaka huu 28 kitu kinaonyesha ni mkweli, Ila amepandisha dau kidogo, mwaka Jana alisema 30+ mwaka huu anasema anataka 33+ inaonekana kuna viserengeti vimezingua.
 
So mimi nikifikia kwenye Category ya kusaka mke nitataja wazi kwamba sifa kuu awe Mwanamke, elimu yake iwe ya utambuzi tu ili asinikalie kichwani,atoke kwenye kabila linaloogopa umasikini,tabia abaki na zake kwa kuwa nami nina zangu! Mwisho kabisa akiri wazi kwamba Bashite ni hafai kwa matumizi ya nyumbani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…