Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kufa hautakufa ila cha moto utakiona[emoji4][emoji4]nitakufa kwa presha mwenzako mimi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kufa hautakufa ila cha moto utakiona[emoji4][emoji4]nitakufa kwa presha mwenzako mimi....
Mmmh, kweli staki kuamini kama pendo lako kwangu limeanza kufifia.[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kufa hautakufa ila cha moto utakiona
Jamaaniii si nimethema nakutaniaMmmh, kweli staki kuamini kama pendo lako kwangu limeanza kufifia.
Najua thaana... haya nikiss shavuni mpenzi niamin ulikuwa utaniiiJamaaniii si nimethema nakutania
We unajua vile navokupendagA[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Duuh! Afu mchagga sasa[emoji23] [emoji23]usiweke kabila bwana
Here is ur manAm 28
looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious
Nimeajiriwa kampuni binafsi,
sina mtoto,
mimi ni mkristo mlutheri
kabila langu mchaga,
mwanaume atakayekuja
awe 33+
mkristo
anajishughulisha
awe so serious na hili swala sio utani
if u think ukoserious just nipm.
ha haha duhDuuh! Afu mchagga sasa[emoji23] [emoji23]
Nilikuwa nimekimbilia kuona mchagga nimerudi mbio[emoji13] [emoji13]
0621119377Am 28
looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious
Nimeajiriwa kampuni binafsi,
sina mtoto,
mimi ni mkristo mlutheri
kabila langu mchaga,
mwanaume atakayekuja
awe 33+
mkristo
anajishughulisha
awe so serious na hili swala sio utani
if u think ukoserious just nipm.
Zama pm tuyajenge...Na mm jaman nahitaji MTU Wa kunioa
Nakupendea hapo tu mtoto wewe....ni mimi na wewe tu. Au vp?Akuuuu.... Nilishawaiwaaa
lσαdíngAm 28
looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious
Nimeajiriwa kampuni binafsi,
sina mtoto,
mimi ni mkristo mlutheri
kabila langu mchaga,
mwanaume atakayekuja
awe 33+
mkristo
anajishughulisha
awe so serious na hili swala sio utani
if u think ukoserious just nipm.
Fanya ufike PMNdo nn
Anawaaibisha sio,labda wa kishumunduusiweke kabila bwana
Sijaona ubayausiweke kabila bwana