Mwanaume aliye tayari kuanza maisha ya ndoa aje

Mwanaume aliye tayari kuanza maisha ya ndoa aje

Daaaah, kigezo cha umri kimeniangusha, ila sifa zingine zoote ninazo. Vp nijaribu bahati yangu?
 
Am 28
looking for a man ready to start a family with me sio utani..niko serious
Nimeajiriwa kampuni binafsi,
sina mtoto,
mimi ni mkristo mlutheri
kabila langu mchaga,

mwanaume atakayekuja
awe 33+
mkristo
anajishughulisha
awe so serious na hili swala sio utani

if u think ukoserious just nipm.
Monie wangu, hujaweka sifa zako eg Umbo, sura, hobbies, mrefu /mfupi.

Hongera Kwa kujitokeza, we can do something.
Haaa haaa inaonekana wachaga wahanga sana wa haya mambo
 
Back
Top Bottom