Mkuu,ulipotelea wap?wa kukufanyia majaribio mbona umetutenga??
Habari za humu
Serious jamani nahitaji mtu ambaye anauhitaji wa kuwa na mke baada ya kuridhiana
awe anajielewa,asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara,miaka kuanzia 28-34
Awe muislam
Mimi ni binti wa kawaid saaaanaa,mawasiliano zaid Private Messages.Tafadhali lkn sio kwa ajili ya majaribio
Karibuni
Nipo mkuu.Mkuu,ulipotelea wap?
...mbatize kwa moto huyo 'new member',Mfano mimi natumia hadi ya kwetu ile.
Usaili nishafeli
Ndio saiz c mume ni mwanaumeMwanaume huyo ina maana sasa hivi si mume? Maana mume maana yake ni mwanaume. Sasa unapomhitaji saa hizi ili aje awe mume kwani sasa hivi ni mwanamke?
Post sent using JamiiForums mobile app