Duu...si bora ungesema untaka kuolewa hapo ingeeleweka tu.Ndio saiz c mume ni mwanaume
Pale atakapo nioa ndo atakuwa mume
Siyo kwa majaribio,kwa maana ipi?Habari za humu
Serious jamani nahitaji mtu ambaye anauhitaji wa kuwa na mke baada ya kuridhiana
awe anajielewa,asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara,miaka kuanzia 28-34
Awe muislam
Mimi ni binti wa kawaid saaaanaa,mawasiliano zaid Private Messages.Tafadhali lkn sio kwa ajili ya majaribio
Karibuni
Lahaaaulaaa,nmekukosa ustaadhat. Basi bwana siyo riziki.Hana
Na kama hawanywi wala kuvuta basi umalaya na ukali, kazi hapo?..wanaume wa maana wote wanakunywa na/au kuvuta;
..utahangaika sana