Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,158
KumbeeeUnaonekana unampenda sana huyo mwanaume mkuu maana amesema anataka muongee nawewe umeconclude kuwa anataka akurudie....je kama anataka achukue duka lake hahahaha just joke mkuu..... Subiria afunguke dhamira yake
Ninampenda sana lakini ninaogopa asije akaniacha tenaKama unamuelewa yajengeni shida zote za nini Fanya vile moyo unapenda
Au humpendi ?
Hana pesa ndefu hivyoSasa s urudi ufunguliwe na sheli za mafuta
Ninampenda sana lakini ninaogopa asije akaniacha tena
Inaezekana kweli kua bado unamapenzi na mtu aliekuacha miaka 2 iliyopita?!Ninampenda sana lakini ninaogopa asije akaniacha tena
Mpakime = mkapimeKama uko tayari kupasha kiporo mpakime afya zenu kwanza
Duka linaendeleaje lakini?Nilipompata nilisema nimepata, huyu mwanaume tuliishi vizuri ghafla akaanza kuwa busy.
Katika kubembeleza nijue kulikoni nilinunua khanga na vitenge viende kwa mama yake kama zawadi ya sikukuu. Hiyo ndiyo siku alipofunguka kuwa haina haja kwani hatutakaa tuoane. Nililia, Sikuu ilikuwa chungu sana.
Haya yalitokea akiwa ameshanifungulia duka. Nililiongeza lile duka upande mmoja umekuwa mgahawa na upande wa pili ni grocery.
Sasa huyu mwanaume anataka tuongee, huyu aliyesema hatanioa. Sijui yemkuta makubwa gani huko alikokwenda.
Duka nimeliongeza sana maana mchana upande wa pili kuna kiepe na dukani soda na mazagazaga mengine yanakwenda sana. Pia kuna khanga, vitenge pamoja na mahitaji ya nyumbani kwa mtaa wetu nimeshika hatamu.Duka linaendeleaje lakini?
Ulipolitoa na lilipo leo kuna tofauti gani?