Mwanaume aliyeniacha miaka miwili iliyopita baada ya kunifungulia duka anataka kunirudia

Mwanaume aliyeniacha miaka miwili iliyopita baada ya kunifungulia duka anataka kunirudia

Ninampenda sana lakini ninaogopa asije akaniacha tena
Hapana mkuu huko alikokwenda hajakikuta alichokitegemea so ameona ww n bora zaid kuliko huko. M nakushauri we mpokee lakn uwe nae makin sana anaweza akaja na kivuli na kutaka kukuoa kumbe anataka akufilisi duka lako.

Ukiona upendo wake anauelekeza sana kwenye pesa/ vitu vyako bs stuka. Ila mpokee tu na umuweke kwenye matazamio kama miez kadhaa hivi kama ni muoaji wa kweli utamjua tu.
 
Miaka ndio tabu yaani huwezi kurudiana na mtu kabisa sana sana yule aliyekuacha.
Amekurudia ili achukue alichokuachia.

Au akufilisi au akuletee maradhi sirudianagi mimi na mtu katuuu.
 
Ningelikuwa ni mimi nadhani nisingelikuomba mikono mitupu. Ningelikuja na ua la ross mkononi. Hebu fikiri; Mtu nilimfungulia kaduka nikidhani katamfia mkononi. Miaka 2 baadaye keshaongeza mahali pa kula mchana na jioni (Lihoteli) na grosari (Pa kupata kinywaji). Umpate wapi mwanamke mchumi kiasi hicho katika dunia la leo?? Wengi wao ni chuma ulete tu hakuna mchumi. Mrudishe tu wala haji kukufilisi bali mtajenga pamoja
 
Mpokee mjenge familia, hao wazazi wetu usifikiri waliposana njiani, kuna ups and down nyingi.
 
Back
Top Bottom