Huyu Mzee ni Kiazi Vyuma Vimekaza Huko Ukambani akaona ajaribu kwenye WarZone hahaha!!!...lakini Mimi nimeyaamini maelezo yake,ila wachukue finga Prints zake na picha yake wamusihi asiendelee kwani maisha yake yatakuwa Hatarini.
Na hiyo ndio kazi ya Polisi,kulinda Raia na Mali zao.