Mwanaume Aliyeulizia Njia Ya Kuelekea Somalia Amekamatwa Huko Kenya

Mwanaume Aliyeulizia Njia Ya Kuelekea Somalia Amekamatwa Huko Kenya

Mzee baba njoo huku imhotep

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mzee ni Kiazi Vyuma Vimekaza Huko Ukambani akaona ajaribu kwenye WarZone hahaha!!!...lakini Mimi nimeyaamini maelezo yake,ila wachukue finga Prints zake na picha yake wamusihi asiendelee kwani maisha yake yatakuwa Hatarini.

Na hiyo ndio kazi ya Polisi,kulinda Raia na Mali zao.
 
Ni Bora Angepitia Ethiopia Hadi Somaliland kwenye amani
 
Back
Top Bottom