Mwanaume ambaye anaonesha ana nia ya kuoa anakuaje?

Mwanaume ambaye anaonesha ana nia ya kuoa anakuaje?

Anajali mambo yako na kukushirikisha kwa karibu mambo yake. Anayachukua majukumu ya mume hata kabla ya ndoa hasa katika kuishi na ndugu wa pande zote.
Anakua huru kukutambulisha kwa ndugu na marafiki lakini kesho yenu mnaipanga na kuiamua pamoja.
 
Kukutambulisha kwao

Akifika hatua hiyo basi asilimia zinaenda 50+ za kukuoa
 
Nia ya kwanza atataka kuja kwenu kuposa.

2.hana haraka na kukutafuna kwa sababu ana uhakika atakuoa tu,akitaka mambo jua anataka aonje aende zake.

Mwisho
 
Hamna mkaka atakae oa bila kumuonja huyo mwanamke kabla ya ndoa HAKUNA
 
Tunaweza kukuonyesha all colors mpaka kukutambulisha...ila tusiwe na nia ya kukuoa bali kuonja kitumbua tuu

Wanaume tuna mahesab makal sana especialy kama mdada una majivuno lazma ukomeshwe
 
Tunaweza kukuonyesha all colors mpaka kukutambulisha...ila tusiwe na nia ya kukuoa bali kuonja kitumbua tuu

Wanaume tuna mahesab makal sana especialy kama mdada una majivuno lazma ukomeshwe

Lakini kufanya hivyo ni upumbavu tuu wala sio ujanja,
Ni afadhali ungekua unapata materials things, Mfano Mercury labda [emoji23]
 
Waoaji mnaitwa huku
Nilikuwa kikaoni nimetumwa kuleta jibu kuwa huwa kama ni wa mtaani hatumuambii tunayetaka kumuoa kwa haraka ili kumsoma ktk mazingira yake halisi.
Hili ni jibu kwa wale tunaokutana nao mitaani ambao ni wengi.
Ngoja niwai kikaoni nikakuletee majibu ya wale tunaokutana nao JF, Chapel na Masjid. Kikao kitaanza saa nne usiku huu.
 
Back
Top Bottom