Mwanaume ambaye anaonesha ana nia ya kuoa anakuaje?

Mwanaume ambaye anaonesha ana nia ya kuoa anakuaje?

Ukiniona jinsi nilivyo mie, utajua tu anafananaje dear.
 
Anavaa viatu vyako (anahitaji kila kitu kila hatua kila kilio kila furaha yako anashiriki kwa njia moja ama nyingine)

Tahadhari; usimpime kwa sababu anatoa pesa kidogo au nyingi.
 
huwa awana mambo mengi, na bahati mbaya kwao wengi wao huwa awana pesa hivyo ni vigumu nyie kuwakubari kwakuwa n mafukara wa kutupwa
 
Tatizo linaanzia kwa wanawake wenyewe.

Wao wenyewe hawajui wanataka mwanaume wa Aina gani.

Mfano:-
Anataka mwanaume wa kumuoa,
ila pia awe kabla hajamuoa sharti anamnunulia mzinga mkubwa wa KONYAGI na K-VANT

Anataka mwanaume wa kumuoa,
ila pia kabla ajamuweka ndani ahakikishe kila wiki anampa ela ya kubandika kucha bandia,kope bandia, mkorogo, facial , masking n.k

Anataka mwanaume wa kumuoa,
Ila pia kabla ya kumuweka ndani, akienda kwake asimfulishe nguo zake Wala kufanya usafi nyumban kwake kucha zake bandia zisije kuharibika.

Kiukweli,
Kumwelewa mwanamke anahitaji nini unapaswa kua mwendawazimu kidg.
 
Malaika uliowatuma wamenileta kwako, usichezee hii bahati... usiendelee kuwasumbua wana maombi ya wengi.
😂😂😂😂Mwaka huu tutaona mengi kwa kweli ,waombe hao malaika waje na kwangu em niwaone wanafananaje kwanza
 
Back
Top Bottom