SijaolewaWe ushaolewa?
Sijaolewa
Ahahaha ๐๐๐kazi kwelikweliKilio chako kimenifikia, mwaka huu sina mzaha... sema nini unataka!
Ahahaha [emoji16][emoji16][emoji16]kazi kwelikweli
Kilio gani mkuu!?
Huwa hawahongi hovyo
Huwa hawezi kukuangalia usoniNdugu
Naombeni mnitajie mienendo au tabia za mwanaume anaeonesha nia ya kuoa
Anakuja kujitambulisha kwa wazazi wako. Na baadae anakupa heshima kama mke mtarajiwa na anakua mwaminifu kwako.Ndugu
Naombeni mnitajie mienendo au tabia za mwanaume anaeonesha nia ya kuoa
Ilo Ni kweli.Huwa hawahongi hovyo
ila pia awe kabla hajamuoa sharti anamnunulia mzinga mkubwa wa KONYAGI na K-VANTAnataka mwanaume wa kumuoa,
ila pia kabla ajamuweka ndani ahakikishe kila wiki anampa ela ya kubandika kucha bandia,kope bandia, mkorogo, facial , masking n.kAnataka mwanaume wa kumuoa,
Ila pia kabla ya kumuweka ndani, akienda kwake asimfulishe nguo zake Wala kufanya usafi nyumban kwake kucha zake bandia zisije kuharibika.Anataka mwanaume wa kumuoa,
๐๐๐๐Mwaka huu tutaona mengi kwa kweli ,waombe hao malaika waje na kwangu em niwaone wanafananaje kwanzaMalaika uliowatuma wamenileta kwako, usichezee hii bahati... usiendelee kuwasumbua wana maombi ya wengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka huu tutaona mengi kwa kweli ,waombe hao malaika waje na kwangu em niwaone wanafananaje kwanza
WaelekezeKo niwaelekeze piyemu?[emoji12]
Hangoji michango ya harusi... Yeye anaita sheikh inapigwa dua.. kwisha habari..Ndugu
Naombeni mnitajie mienendo au tabia za mwanaume anaeonesha nia ya kuoa
Hayana formula hata mambo sometimes yanatokea automatic tu.Kukutambulisha kwao
Akifika hatua hiyo basi asilimia zinaenda 50+ za kukuoa