miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
kuna watu wanajua kususa mama yangumiss chagga tayari ameshazimia alivyoona hii habari, atajibu akizinduka kama watamuwahisha hospitali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna watu wanajua kususa mama yangumiss chagga tayari ameshazimia alivyoona hii habari, atajibu akizinduka kama watamuwahisha hospitali.
Kuna watu wana bahatiNa Mary anaambiwa haya haya
miss chagga tayari ameshazimia alivyoona hii habari, atajibu akizinduka kama watamuwahisha hospitali.
hahahahahahahahahahahahahaahuwii yani kashindwa kuleta vitambulisho.. jamani jamani mpaka nimesisimka
kuna watu wanajua kususa mama yangu
hongera mkuuAmesusa mpunga... au na huko kuna watapeli kama wale wa M-pesa za magumash? Kunasiku nilishinda nogesha upendo tunaenda kwa bibi 1M, walivyonipigia niliwaka sana nikawaambia naenda kushtaki polisi, ndio baadae kunitaka radhi kumbe kweli nimeibuka kidedea, siku hiyohiyo jioni nikaona tu ...imethibitishwa...salio lako ni...cha kwanza nikahamisha kwanza ili kuona kama ni kweli ama wananichenjua. Toka siku hiyo nikaamini kumbe haya mazali yapo linaweza kukudondokea mtu yeyote.
Mwacheni miss chagga alale jamanimiss chagga hebu ona huyu alichokifanya!